1 Kings 8:63

63Sulemani akatoa dhabihu sadaka za amani kwa Bwana: ng’ombe 22,000, pamoja na kondoo na mbuzi 120,000. Hivyo ndivyo mfalme na Waisraeli wote walivyoweka wakfu Hekalu la Bwana.

Copyright information for SwhKC